Hii Mix ina Ngoma zilizoachiwa ndani ya Bongo (Tanzania) mwishoni mwa mwaka Jana na Nyingi ni za Mwaka huu. Katika hii Mix utawasikia wasanii kama Umbwa Mzee aka Chindo, Nikki … Continue reading “DJ Mix” Bongo Hip hop Mix Feb 2014 (C)Ngomanagwa
Category: AUDIO
New and old audio music will be posted here.
(Audio) Unique Sistaz Featuring Hashim Dogo – Sikiliza
Ukipenda unaweza kuwaita Unique Dadaz, katika Ngoma hii ambayo ni ya mwaka 1999 ukiachia mbali nyimbo kama Leo ni Leo na Hot Summer day ambazo waliwahi kuzitoa kabla ya hii na kuwavutia sana mashabiki wao hasa Vijana. Majina yao ni Radhia na Rahima na ni watoto wa Ahmed na Sango Kipozi. Pia wameshawahi kufanya kazi na wasanii wengine wengi akiwemo Mac D. Enjoy
#OldskoolJointOfTheDay.
Bofya hapa kusikiliza huu wimbo hapa:
(Audio”Throwback”) Taff B Ft Nigga J – Rap Ndo Yenyewe (1997)
Taff B aka Ngomanagwa & Nigga Jay aka Prof Jay (Cousins) Kwa wale wapenzi wa Muziki wa Bongo Hasa Rap ya miaka ya 90’s mtakumbuka hasa Style za ku-Flow za … Continue reading (Audio”Throwback”) Taff B Ft Nigga J – Rap Ndo Yenyewe (1997)
(Audio “Throwback”) Wachuja Nafaka – Jirani Mtani

Hii Ngoma ilisumbua sana katika Airwaves za Bongo Hapo Miaka ya Mwishoni ya 90’s. hasa Ndani ya Radio One, Ilikuwa ni Moja ya nyimbo zilizompa Msanii JUMA NATURE umaarufu sana, utaisikia sauti yake Kwenye Chorus ikisema”Tutoe adhabu gani juu ya hao wanaoturoga/…….. Jina la hii nyimbo ni JIRANI MTANI akiwa na Msanii Richie One na KR. Enjoy good music.
Bofya Hapa Kuisikiliza:
(Radio Show) Bongo Radio Throwback Monday Show Jan 13th 2014 (C)Ngomanagwa
For those who missed the Show LIVE on Bongo Radio with the First hour of Old school Tanzanian Music. Enjoy good Music and Stay Blessed.




