Taff B aka Ngomanagwa & Nigga Jay aka Prof Jay (Cousins) Kwa wale wapenzi wa Muziki wa Bongo Hasa Rap ya miaka ya 90’s mtakumbuka hasa Style za ku-Flow za … Continue reading (Audio”Throwback”) Taff B Ft Nigga J – Rap Ndo Yenyewe (1997)
Category: Music
(Audio “Throwback”) Wachuja Nafaka – Jirani Mtani

Hii Ngoma ilisumbua sana katika Airwaves za Bongo Hapo Miaka ya Mwishoni ya 90’s. hasa Ndani ya Radio One, Ilikuwa ni Moja ya nyimbo zilizompa Msanii JUMA NATURE umaarufu sana, utaisikia sauti yake Kwenye Chorus ikisema”Tutoe adhabu gani juu ya hao wanaoturoga/…….. Jina la hii nyimbo ni JIRANI MTANI akiwa na Msanii Richie One na KR. Enjoy good music.
Bofya Hapa Kuisikiliza:
(Radio Show) Bongo Radio Throwback Monday Show Jan 13th 2014 (C)Ngomanagwa
For those who missed the Show LIVE on Bongo Radio with the First hour of Old school Tanzanian Music. Enjoy good Music and Stay Blessed.




