Tag: Bongo Records

VIDEO | THE LEGEND SHOW – EPISODE 1 by Soggy Doggy Anter

Hiki ni kipindi kipya online kinacholetwa kwenu na “Bongo Records Limited“, Mwendeshaji wa show hii ni rafiki yangu wa siku nyingi, mwanangu mwenyewe kabisa anayejulikana kama “Anselm Ngaiza” ukipenda unaweza kumuita “Soggy Doggy Anter“.

Episode hii ya kwanza kabisa inahusisha mazungumzo na Ras Omega ambaye makazi yake ni huko Arusha, Tanzania. Katika interview hii anatuelezea maisha ya kisanii ya msanii “Joh Makini“. Namnukuu “Baba yake Joh Makini hakutaka mwanae awe mwanamuziki na alikuwa anamtafutia kazi nyingine lakini Joh alikuwa anakataa, ilibidi nimwambie baba yake atulie maana alikuwa akimfuata Joh River Camp nikiwa nae” – Ras Omega

The legend show kipindi na Ras Omega tayari kiko YouTube, tembelea ukurasa huu hapa chini kuona Interview nzima nae.

Sponsored by @tanzanite_premium_vodka