(Audio “Throwback”) Wachuja Nafaka – Jirani Mtani

jumanature4

Hii Ngoma ilisumbua sana katika Airwaves za Bongo Hapo Miaka ya Mwishoni ya 90’s. hasa Ndani ya Radio One, Ilikuwa ni Moja ya nyimbo zilizompa Msanii JUMA NATURE umaarufu sana, utaisikia sauti yake Kwenye Chorus ikisema”Tutoe adhabu gani juu ya hao wanaoturoga/…….. Jina la hii nyimbo ni JIRANI MTANI akiwa na Msanii Richie One na KR. Enjoy good music.

Bofya Hapa Kuisikiliza:

Leave a comment