(Audio”Throwback”) Taff B Ft Nigga J – Rap Ndo Yenyewe (1997)

(Oldskool Audio) Taff B Ft Nigga J - Rap Ndo Yenyewe 1997

Taff B aka Ngomanagwa & Nigga Jay aka Prof Jay (Cousins)

Kwa wale wapenzi wa Muziki wa Bongo Hasa Rap ya miaka ya 90’s mtakumbuka hasa Style za ku-Flow za wasanii wengi zilikuwa affected sana na Wasanii wa kigumu kama Onyx kwa Kunyoa Vipara na Das EFX ama Fuschnickens kwa kupiga ma-toung twist ya Nguvu basi nami nilikuwa niki-flow kwa design hiyo. Hii ni Ngoma yangu ya Pili kurekodi katika maisha yangu ya kisanii inayoitwa “Rap Ndo Yenyewe” Tulirekodi hii nyimbo katika studio za Sound Crafters Temeke mwaka 1997 chini ya Producer Henrico.

Click hapa Kusikiliza huu wimbo:

 

 

 

 

Leave a comment