Karibuni wale wote wenye Kiu ya Mawe mapya ya Bongo Hip hop ambayo yamo katika hii Non-Stop Mix yenye Ndonga za Ukweli zilizotoka hivi karibu pamoja na moja mbili zilizotoka mwishoni mwa mwaka jana. Enjoy Ngoma Mpya toka kwa wasanii kama One the Incredible, Wakazi, Godzilla, Ghetto Ambassador,Young Killah, Songa, Duke, Country Boy, Jeff Jerry akiwa na Team Racers pamoja na wasanii wengine Kibwena. Pamoja Wana Wote katika Jina la Hip hop.
